Kati ya Usher Raymond na R-Kelly nani mkali zaidi ya mwenzake kwenye miondoko ya R&B ?

Usimfananishe R KELLY na USHER ,,,R KELLY ni HABARI ingine,,au unawafananisha kwa UNENGUAJI? sikiliza UJUMBE WA R KELLY MKUU,,,usitizame UNENGUAJI JUKWAANI....Mimi BINAFSI nafata R KELLY formula ktk mahusiano,,,ana messages ZA KUFA MTU...huyo USHER hata Joe Thomas hamuingii...kuna watu kama GERALD LEVITT,, ,McKnight,,JOE Thomas,, ni NUKSI TUPU,,,huyo Usher MSHINDANISHE NA CHRIS BROWN kweny KUNENGUA ,,,,sio UJUMBE UNAOTOKA KWENYE MZIKI
 
Mimi binafsi Robert Kelly ni msanii wangu wa miaka yote!!!....

Akifuatiwa na Joe Thomas na Mtu mmoja anaitwa Jaheim!!!....

Mtu aliyekuwa anachipukia kwenye RnB ya kweli ni Ruben Studard lakini na yeye sijui amekumbwa na nini!!!!


Storm is over ni nyimbo iliyonipa moyo wakati nilipokuwa na pitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu!!!!.....

I wish ni zaidi ya nyimbo!!...

Bila kusahau
The World Greatest!!!......

Kwa upande wa Joe Thomas nyimbo ya
If i was your man!! Inanifanya nikumbuke jambo fulani!!!....

Muziki ni kitu kingine hasa ukipigwa na mwanamuziki anayejua muziki
 
R Kelly sio MTU mzuri ktk HUO MUSIC....Wa RNB ...
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
kwenye uandishi ndio kabisa R.kelly aachwe alale maana ameshashindikana kwenye hiyo sekta...
 
Usher hata kwa Joe Thomas anakaa itakuwa kwa Kelly?
 
R Kelly ni kiboko ila nilimchukia kwa tabia yake tu lakini siwezi kumfananisha na Usher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…