Kati ya wachezaji sikuwahi kuwapenda ni George Mpole

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninasikitika kusema kwamba huyu jamaa nilimchukia na kufikia mahali kumwombea Mayele achukue kiatu ijapo mimi si mpenzi wala mihogo.

Unaweza kujiuliza kwa nini nilifikia kumchukia huyu jamaa?

Ukiangalia mechi za Simba anaonekana alizikamia sana na kiasi kwamba hata jambo dogo tu likitokea alishikwa na hasira hadi unaona chuki kabisa dhidi ya wachezaji wa Simba.

Kama kuna waliolipwa ili wafanye juu chini waifunge Simba huenda naye alilipwa kwa kazi hiyo.

Hali ilikuwa tofauti sana akicheza na utopolo, hapo ungeweza kuona hata uso umetulia na hana zile hasira na chuki alizokuwa anaonesha kwa wachezaji wa Simba.

Sitaunga mkono timu kama Simba kusajili mtu kama yule. Nimesikia kwa sasa hana furaha na timu yake.
Aende tu timu nyingine kwani hana 'attitude' ya kucheza Simba.

Mchezo ni furaha na siyo mihasira ya kijinga ya kutumwa na kuonesha chuki za wazi
 
Hahaha hahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa Mikia FC bana.
 
Anaumwa na geita wamekataa kumuwekea mshahara na hatibiwi na
Daktar WA team bongo hii nyoso sana
 
haupo kazini, well unaumwa ndio uondoke bila idhini ya mwajiri wako??? ulipwe mshahara wakati haupo kazini??? ya wapi hii??
 
Hii dunia ina watu wajinga sana, inamaana angekuwa haikamii Simba ungempenda! Una safari ndefu sana kujitoa kwenye kundi la ujinga.
 
Wewe ni utopolo ambae ulitaka mtikisa matiti Mayele achukue kiatu. Hicho kitu kimewauma sana. Mnamfanyia figisu dogo kila siku
 
Tatizo kubwa la sisi Watanzania ni UJINGA.
 
Ninasikitika kusema kwamba huyu jamaa nilimchukia na kufikia mahali kumwombea Mayele achukue kiatu ijapo mimi si mpenzi wala mihogo.

Unaweza kujiuliza kwa nini nilifikia kumchukia huyu jamaa?

Ukiangalia mechi za Simba anaonekana alizikamia sana na kiasi kwamba hata jambo dogo tu likitokea alishikwa na hasira hadi unaona chuki kabisa dhidi ya wachezaji wa Simba.

Kama kuna waliolipwa ili wafanye juu chini waifunge Simba huenda naye alilipwa kwa kazi hiyo.

Hali ilikuwa tofauti sana akicheza na utopolo, hapo ungeweza kuona hata uso umetulia na hana zile hasira na chuki alizokuwa anaonesha kwa wachezaji wa Simba.

Sitaunga mkono timu kama Simba kusajili mtu kama yule. Nimesikia kwa sasa hana furaha na timu yake.
Aende tu timu nyingine kwani hana 'attitude' ya kucheza Simba.

Mchezo ni furaha na siyo mihasira ya kijinga ya kutumwa na kuonesha chuki za wazi
Unataka mpole George achezo unavyo taka wewe,
 
Hana adabu yule dogo anamjibu kocha wake kuwa yeye CV yake ni kubwa kuliko kocha kwenye mpira wa bongo.
 
Haujui mpira wewe choko
Ungekuwa unajua mpira ungeishi kwa dada yako?
Watu kama nyie huwa mnatukana mambo mliyofanyiwa so unakuja hapa kujiosha kwa kutukana wengine
 
Hii dunia ina watu wajinga sana, inamaana angekuwa haikamii Simba ungempenda! Una safari ndefu sana kujitoa kwenye kundi la ujinga.
Suala sio kukamia,mbona Mayele huwa anaikamia Simba?
Suala hapa ni attitude.

Unajiita clever kwa kuwa hicho ni kitu huna mpu.mbavu wewe.
Ulishasikia Elon musk anajisifu kwa kujiita Tajiri?
 
Kwa hiyo ulitaka akiifunga Simba basi lazima aifunge na Yanga
Suala siyo kuifunga Simba,na kutoifunga yanga.Unamuonaga anavyokuwa na hasira na wachezaji wa Simba?tena ni kusirani kikubwa ila akicheza na utopolo unamuona uso umelaika.
Kama ni kufungwa kwa nini nisimchukie Mayele?
 
Je akicheza na kagera sugar, mtibwa, Namungo nk inakuaje? ama reference yako ni simba na yanga tuu
 
Back
Top Bottom