Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Mkoa wa Dar es salaam, ambao ndio uliozaa jina la Bongo na kusababisha nchi yetu iitwe Bongoland (Nickname), hakika safari hii umepata mkuu wa Mkoa mwenye bongo kuliko watangulizi wake wote kwa sifa zifuatazo:-
1.Uthubutu
2.Ubunifu
3.Kuanzisha jambo na kulisimamia
4.Ushirikiano na wenzake
5.Uchapakazi
6.Uwajibikaji
7.Elimu
8.Uwezo wa kukabili changamoto
9.Utii kwa walio juu yake
10.Kuwajibika bila kujali itikadi