Miss chagga wewe ni fundi wa haya?Labda
Ufundi wangu kwenye kunusa pesa... mkuu mapenzi bwana nI infection kila kitu kitajipa automatic tu.. makabila mengine wamefundishwa ikichomekwa katika lakini ukikaa ukanikuna vyema mbona nakatika mgongo vizuri tu mpaka utapenda . Raha ije autoMiss chagga wewe ni fundi wa haya?
Halafu nimeoteshwa kuwa kuna kitu unakijua unaweza nielekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli alitupatia ufundi mkubwa sana namna ya kuridhishana katika tendo la ndoa , mautundu na maujanja mbalimbli muwapo faragha.
Mimi binafsi naona mtu alopita secondary na kuendelea ana faida kubwa sana ya kuaplay mbinu za kitaalamu kitandani , hasa kwa wale walopita katika masomo ya sayansi wanafaida kubwa sana.
Mmmh ni shida!!!Ufundi wangu kwenye kunusa pesa... mkuu mapenzi bwana nI infection kila kitu kitajipa automatic tu.. makabila mengine wamefundishwa ikichomekwa katika lakini ukikaa ukanikuna vyema mbona nakatika mgongo vizuri tu mpaka utapenda . Raha ije auto
Si kidogo
Nimtaje kwa jina?
Nikweli mzee, hayo ni maelezo tu ktka uzazi/kuzaliana kwa viumbe.1. yawezekana huyo mwalimu alitoka nje ya syllabus na curriculum kwa sababu maudhui ni maelezo juu ya uzazi na wala sio namna gani tendo lifanyike ili kupata burudani,
2. biolojia inafundishwa hata shule ya msingi kwani sio wahitibu wote wa darasa la saba wanajiunga sekondari.