Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

Nilibahatika kua karibu na the late professor Y. BWATWA....

Umenifanya nikumbuke maarifa yake mengi aliyo kua akinipa

Alisoma marekani in early 60's Huyu mzee amemfundisha hapo Udsm Ndalichako then wakaja fanya kazi kitivo kimoja....

So mchakato wa Ili mtu awe professor naujua vizuri kabisa sio lelemama 🤓🤓🤓

Mm ahad yangu ya maisha siku Moja lazima ntakuja kua DKT (PHD) hii lazima niiweke kwenye kabati langu😊😊😊😊😊
 
na wale wajalalani wanamsaada gani kwa taifa
 
Tatizo siyo Baba wa taifa; tatizo tulijenga Kiwanja cha mpira badala ya kuanzisha Universities huku tukiwa na chuo kikuu kimoja au viwili tu nchi nzima
Maprofesa tulionao ni wale waliosoma kwenye Vyuo Vikuuu wakatii wa Baba wa Taifa, na wengine wamekuja kuanza kuongezeka hivi karibuni baada kishindo cha awamu ya nne; ya JK
Maprofesa wengi tulionao muda huu wengi wao watakuwa ni product ya vyuo vikuu vilivyoanzishwa wakati wa awamu ya nne ya JK
 
Nyerere ndio amelilostisha hili Taifa,sijui Huwa mnamtetea Kwa lipi? 25 years madarakani lakini hakuna kitu Cha maana
 
hakuna maajabu maana africa yote pamoja na maprofesa wake wote wanachangia asilimia 1.7 tu ya global scientific knowlegde...!
 
Usimlaumu Julius aliyesaidia babu zetu kuwa huru nakupunguza ujinga kwenye bongo zao!!

Siyo jukumu lake kuhakikisha watanganyika wanakuwa ma professor,
Wewe ulifukuzwa shulee au ubongo upoza???
 
Tunao wachache ndio maana tunachangia kidogo
achana na tanzania nchi zote za africa pamoja na maprofesa wote na phd holders wanachangia
Tunao wachache ndio maana tunachangia kidogo
nakwambia achana na hawa wa tanzania africa nzima wanachangia asilimia 1.7 ya ujuzi wa kisayansi duniani wakiwemo na hao wajuaji kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…