Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

Tukiambiwa Tanzania ni Nchi ya wajinga hatutakiwi kubisha.

Yaani Taifa lenye watu takribani Milioni 65 linakuwa na Maprofesa 226 huku Full Professors Wakiwa 63 na Associate Professors Wakiwa 163 tuu,na hizi ni takwimu za 2023....
Huo ni Uongo Maana SUA peke yake ina Maprofesa wengi sana,kwa data za mwakajuzi Walikuwa wanakaribia 100.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kwanini wewe hujawa professor na umekimbilia uchawa kwakuwa unakulipa kirahisi?
 
Yaani Taifa lenye watu takribani Milioni 65 linakuwa na Maprofesa 226 huku Full Professors Wakiwa 63 na Associate Professors Wakiwa 163 tuu,na hizi ni takwimu za 2023.
Hata wangekuwa 3,000.000 wana msaada au umuhimu gani? Akina Mkumbo wamerubuniwa, wengine wanauza bandari, wameacha kujikita kwenye majukumu yao ya kitaaluma wamekimbilia siasa wanauza nchi
 
Hata wangekuwa 3,000.000 wana msaada au umuhimu gani? Akina Mkumbo wamerubuniwa, wengine wanauza bandari, wameacha kujikita kwenye majukumu yao ya kitaaluma wamekimbilia siasa wanauza nchi
Mawazo ya mjinga
 
Umeandika vizuri mwisho wa siku umeweka uchawa wako kwakupondea wengine nakusifia wengine wakati serikali ni hiyo hiyo ya ccm toka uhuru.Kwaujinga huo umeharibu andiko zima.
We chura Mimi sio chawa,ni upumbavu mkubwa ukimsifia Mbowe uitwe chawa
 
CCM walisema wao ndio chama chenye wasomi wengi kuliko chama chochote kile lakini kumbuka ndio wamepitisha mkataba
 
Kitila naye ni professor!!!
 
Babu Tale na Msukuma nao tunawaweka kwenye list ?😅
 
Elimu ya TZ inachangamoto nyingi sana.

Kuanzia level ya chuo,mtu mmoja anamua hatma ya mwanafunzi,kubaniana sana,na ndio maana interest ya Elimu inapotea,watu wanatafuta ufaulu wakafanye mishe zao.
 
Plof. Plof... .. plof ndo kitu gani wewe ngumbaru?
 
Haha kwani tatizo ni uprofesa au hela bro


Sawa wewe kuwa professor me niwe baharesa tuone
 
Nyerere hawezi laumiwa ila NCHI haitaki hailei wagunduzi Bali wanasiasa
 
Nyie watoto mmeshiba maziwa na uji sasa mnajinyea na kunyea miguu ya waasisi wa Taifa.

Ulizieni kuwa Decemer 9 , 1961, wakoloni waliacha wasomi wangapi nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…