Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

Labda mlitaka auze bandari ?

Pamoja na yote hayo elimu ilikuwa bure.

Wasomi wakumshauri Mwalimu hawakuwepo pia.

Mwalimu Nyerere alipambana kuona nchi za Africa zinapata uhuru kwanza.

oops nawachukia wanaomlaumu Mwalimu Nyerere.
 
Maprofesa ndo wanaoifanya hi nchi iendelee kuwa masikini
 
Na hii comment ni kigezo kingine kwamba Tz tuna wajinga wengi sana.
mm niko kwenye kada ya afya , moj kati ya kero kubwa kwang ni maprofesaa , kwanza wanataka kujikuta wajuaji hawapend kujifunza , mwishowe ni huduma mbovu , hizi elimu za magharibi zinatufanya wehu , mtz you know you know nying , kwan engli ni bora zaid ya kiswahili
 
Haya ndioadhala ya Taifa kuwa na watu wajinga wengi Sasa,eti hizi ndio hoja [emoji1787][emoji1787]
maprofesaa ni helpless ndo wanaharibu kila mahal , wanaweka rushwa mbele hadi mavyuon , gpa za kupeana na ufanisi wa kaz ni zero
 
Wajinga Huwa mnajua mchango wa mtu msomi ni kugawa pesa.

Huyo kabudi amefundisha Wataalamu wengi wa sheria sawa sawa na Lipumba Kwa Wataalamu wa Uchumi,ndio mchango wao.
wanasheria waliokuwa wanasaini mikataba ya hovyo ? ebu kuwa realistic bas , mm nmeona vyuon wanavyotoa gpa za hongo either ya hela au ngono au undugu na walio bora wanawawekea zongo ili kuwachafulia vyeti vyao
 
Nilisoma mahali wale maprofessor kamili wapo kama 63..
 
Kwa level zako inatosha ila linapokuja Suala la critical thinking wanahitajika
wa kusaini mikataba ya hovyo na kutishia kumfutia vyeti wakili msomi ? ebu tuwe wakwel kati ya hao 226 bas maprof kwel ni wachache sana wengine rushwa tu zimewafikisha hapo
 
Compare na Kenya, Uganda etc, in relation to Population ili uweke uhalali wa andiko lako.
Tanzania kwa idadi yetu, tulipaswa kuwa na professors wengi ukilinganisha na Kenya. Tanganyika imerudishwa nyuma sana na sera za ujamaa na mwalimu Nyerere.
 
Kwa akili kama zako angekuwa kaziliwa zama hizi tena angetutawatawala ...

Mpaka lini alaumiwe mtu aliekufa, mtu aliekuta nchi haina mifumo, yenye makabila, hawana kipato cha juu bado kapambana na kasimama na kaachia wengine..

Mtu umezaliwa shule za kata zipo, boarding, kuna abroad kuna mikopo kibao unaweza kubet ,unaweza jiajili population ni kubwa ..mitandao ya kijamii ipoo

Bado unalalamika

Hakika hakukosea kusema ujinga ni moja ya matatizo yetu...

Lawama ni sehemu ya ujinga.
 
wanasheria waliokuwa wanasaini mikataba ya hovyo ? ebu kuwa realistic bas , mm nmeona vyuon wanavyotoa gpa za hongo either ya hela au ngono au undugu na walio bora wanawawekea zongo ili kuwachafulia vyeti vyao
Mandela alisema elimu za kuungaunga na NCHI itakuwaje na wasomi fake
 
Hao maprofesa wote ni zao la elimu ya mkoloni

Tokea tuanze elimu ya UPE sidhani kama Kuna profesa aliyepatikana
 
Kuna watu huwa mnatafuta laana bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…