Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

Umemaliza kila kitu
 
Nyerere ndio amelilostisha hili Taifa,sijui Huwa mnamtetea Kwa lipi? 25 years madarakani lakini hakuna kitu Cha maana
Alikuwa na opposition kali mno kutoka ndani na nje ya nchi yake. Baadhi ya aliowakuwa nao ndani ya nchi walikuwa na mpango wa KULA NCHI, huku yeye akiwa tofauti, na wakati huo huo hao ndiyo wasomi alikuwa noo. Nyerere alitawala nchi hiii kwenye kipindi kigumu sana
 
Porojo za ma failures 🤣🤣

Kwa nini asipambane nao Majukwaani? Madikteta mara nyingi hakuna Cha maana Huwa wanafanya hasa kama hana hata abc za kiuchumi
 
Nchi nzima yenye watu wote hao Ina madaktari chini ya 2,500.Hii ni aibu.

View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1699396639289385409?t=PEILLRgWc_F1eldcweEMjg&s=19
 
Hao maprofesa 226 wamelifikisha haapa taifa unategemea nini? tutajieni wamelisaidia nn taifa hili? Daily mambo ni mvurugano. Maprofesa wa uchumi waje na uchumi wao sasa, mafuta yana panda bei, sukari inapanda bei, umeme unakatika katika, shilingi imepoteza thamani, dola imeadimimika.. waje wasolve hizi simultaneous equations, tuone umuhimu wao.
 
Tatizo waajiri hawako tayari kusomesha; fedha nyingi zinaenda kwenye matumizi ya kawaida na posho.
Wanaweza kusomesha idadi ya watu wachache sana; na hii inatokana na ubinafsi.
Tuache ubinafsi, tuwekeze fedha za kutosha kwenye elimu (Hii inawagusa vyuo vikuu vyote na vyuo vyote vya elimu ya kati).​
 
Wewe Choice ni mtu Mshenzi na Mpotoshaji Mkubwa kuwahi kutokea hapa JamiiForums.
Ulaaniwe na Watanzania wote , kwa nguvu zote.

Unaleta madai ambayo huwezi kuthibitisha au hata kuyatolea mifano, na mfano mmoja mzuri na haya maneno yako kuhusu Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nibhaya madai uliyoyabandika hapa, nanukuu
Hayati Mwalimu Nyerere maana huyo bwana yeye hakutaka kabisa ku priotise Elimu Kwa sababu anazozijua yeye
Huo hapo juu ni Uwongo-Ukemewe.
Hakuna shule Mpya alijenga ukiacha za wakoloni Wala kuhangaika kuwaendeleza watu kielimu.
Hayo ndio mauwongo na ndio Upotoshaji Mkubwa huo. Narudia, Ukemewe kwa Nguvu zote.

Wacha Ugaidi dhidi ya Watu wa Tanzania.
 

Punguza povu basi,Babu Yako alitulostisha sana kielimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…