Kati ya Wema na Jokate nani ni photogenic?

Tupe majibu mkuu

Nitamtumia JOKATE Kwani Ana Karibia SIFA Zote 11 ZILIZOTUKUKA Za Kuwa Photogenic. WEMA Ni Mzuri Ila Ule Mwanya Na Macho Yake Ya " KUPEPEA " Yanamfanya Asiwe Photogenic Japo Tukisema Tuanzie Vigezo Vya Kutoka Kifuani Kuja Hadi Usawa Wa " VIUNGO KOROFI " Vya Binadamu WEMA Anamzidi JOKATE Ila Tukisema Tena Tuangalie Kuanzia Ktk MAPAJA, UGOKONI, VIGIMBINI Na MIGUUNI Nisiwe MNAFIKI Hapa JOKATE Anamzidi Mno Na KUNAKOTUKUKA WEMA.

Hivyo Basi Kama Ni Marks Za Jumla Jokate Nampa 95% Huku Wema Nikimpa 75%. Ila Binafsi NINAWAPENDA Na NAWAKUBALI WOTE.
 
We we umenichekesha. Mmoja ukimpa 95% mwingine inabidi umpe zilizobaki yani 5%.
 
hivi mmoja aliwahi kuwa miss Tanzania yaani bingwa wa warembo Tanzania, tuanzie hapo
 
hivi mmoja aliwahi kuwa miss Tanzania yaani bingwa wa warembo Tanzania, tuanzie hapo
Ndio mkuu Wema alikuwa miss Tanzania, namba 1 ambae ndie alivaa taji, na Jokate akwa miss Tanzania no.2 wote mwaka mmoja 2006.
 
"JOKET" AKA "JOJO"......Anafaa kuwa photogenic,isitoshe ni Kipenzi cha my brother from another mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…