Naombeni jibu kati ya hawa wasanii wawili wa maigizo Wema Sepetu na Jackline Wollper ni nani yupo juu ya mwenzake kwenye uigizaji? Naomba tuambiene kwa kila mmoja kwa mtazamo wake ili tujue nani anayeweza kuigiza.
Ungesema kati ya mtama na mahindi kipi ni bora zaidi kwa afya ya wenye utapia mlo ningekusifu sana,lakini aghhhhhh!,twendeni tu hii si home of great tinkers