Kati ya Wema Sepetu na Jackline Wolper nani anamfunika mwenzake katika uigizaji?

Wakuu,

Naombeni jibu kati ya hawa wasanii wawili wa maigizo Wema Sepetu na Jackline Wollper ni nani yupo juu ya mwenzake kwenye uigizaji? Naomba tuambiene kwa kila mmoja kwa mtazamo wake ili tujue nani anayeweza kuigiza.

Karibuni


kwa uigizaji wote uharo mtupu...
ila kwa umalaya na uasherati Wema mashallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…