Kati ya Whitney Huston na Tshala Muana, nani katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka.

Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love of all ya Whitney Huston. Kokola naipa asilimia 75% na Greatest love of all naipa asilimia 25%.

Ila kweli bang*** ya leo walinichanganyia nini, Hv kweli namfananisha Whitney Huston na Tshala mwana.

Wadau msikilizeni kwanza Whitney Huston then turudi kwenye mada.

View: https://youtu.be/IYzlVDlE72w?si=dG6argdcaTQJg8lO
 
habari wakulungwa, wawili hao hawafanyi muziki unaofanana hata hivyo kulinganisha Whitney na Tshala Muana ni uonevu, nimelia sana, anyway naomba nianze uchambuzi wangu kama ifuatavyop;

Whitney Houston
Whitney Houston alikuwa moja ya wasanii wa muziki wa pop na R&B waliovuma sana duniani. Katika maisha yake ya muziki, alishinda tuzo nyingi sana, ikiwemo:
  1. Grammy Awards - 6 tuzo
  2. American Music Awards (AMAs) - 22 tuzo
  3. Billboard Music Awards - 16 tuzo
  4. MTV Video Music Awards - 2 tuzo
  5. NAACP Image Awards - 6 tuzo
  6. Emmy Awards - 1 tuzo
  7. Tuzo zingine, kama People's Choice Awards, Soul Train Awards, na Guinness World Records kwa mafanikio yake makubwa.
Kwa ujumla, Whitney Houston alishinda zaidi ya 415 tuzo katika maisha yake, akiwemo rekodi ya Guinness World Record kwa kuwa mwanamuziki wa kike aliyeshinda tuzo nyingi zaidi.

Tshala Muana
Tshala Muana, mwanamuziki mashuhuri wa Kikongo (DRC), alijulikana sana kwa muziki wake wa Rumba na Mutuashi. Hadi kifo chake mnamo Novemba 2022, alitoa albamu kadhaa na kushinda tuzo mbalimbali:

  1. Albamu
    Tshala Muana alikuwa na zaidi ya 20 albamu, ikiwemo:
    • Malu
    • Mbanda Matière
    • Sikila
    • Soukous Sirène
    • Tshibol
    • 2. Tuzo
      Tshala Muana alipokea tuzo nyingi, hasa katika Afrika, ikiwemo:
    • Tuzo za Kora Awards
    • Tuzo za Heshima kwa mchango wake mkubwa katika muziki wa Afrika.
    • Tuzo za ndani ya DRC na katika ukanda wa Afrika ya Kati kwa kazi zake za kisanii.
Idadi kamili ya tuzo alizowahi kupata haipo hadharani lkn kusema anaweza kumhishanisha na whitney ni matusi makubwa, licha ya ushawishi wake mkubwa katika muziki wa Afrika.
 
Tunashukuru sana kwa analysis nzuri. Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom