Kati ya Young M.A na Nicki Minaj nani anafanya hip hop?

Kati ya Young M.A na Nicki Minaj nani anafanya hip hop?

Picha zao kwanza weka

ila mi namkubali Nick Minaj
MA-First1.jpg
nintchdbpict000348477727.jpg
 
kale kajike dume Young M.A ndo dawa yao wote so acha kumlinganisha na vitu vya kijinga. oooouuuuuuu!
 
Mwenyewe anapenda kujiita Young M.A shakur ana ngoma yake inaitwa EAT bonge la ngoma. Tukiachana na tabia zake za kisagaji huyu mtoto mkali hao akina Nicki, card B ,remmy ma wote wanasubiri.
 
Young M.A. chisel words to move the crowd, the plastic pinky barbie bought her whole body to move the crowd. So basically, one aims to rock the mic and feed your brain, while the other aims to rock your mic having you wish you was getting brains.
 
young ma mkali anapiga hiphop ngumu af wachache tunaielewa...minaj ypo ki commercial zaid thus why mala aimbe mala achane
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom