hivi ukipata habari au kutazama katika video fulani na kujifunza stail fulani katika mambo yetu yale,unafanyaje kumueleza mwenzio maana mimi nikimwambia mwenzangu anadamimi ni mhuni kwamba nimejuaje.
nimejaribu kumuelea chanzo yeye anadai kuwa iweje kila siku nije na stail mpya.
wenzagu mnfanyaje ?
hilo nalo nenojaribu muwe wote kwenye hiyo source yako ya staili mpya