Kati yao na mimi, wao watanizika au mimi nitawazika?

Kati yao na mimi, wao watanizika au mimi nitawazika?

Mzee nimeshamzika nimebaki na mama tu halafu mimi ndo mtoto wake wa pekee, nahisi nikitangulia kufa nitamuacha kwenye hali mbaya sana.
Kama unatamani mama ndo atangulie ivi wewe ubaki ama sijaelewa??
 
Mim bora nitangulie sio watoto wangu wenyewe waishi tu
 
Sisi sote Ni wa Mola......usijipe mawazo maana hiyo siku lazima ije
 
Back
Top Bottom