mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 188
Umesababisha kuna mtu asitie mguu wake maana naona kimya sana//Kama mtakumbuka, sisi wenyewe hapa JF ndo tuliwapigia kelele viongozi wa dini kwa kukaa kwao kimya mambo yakienda mrama, so far wanachofanya wanasaidia kuzipaza sauti zetu tulio wengi na sijaona UDINI wowote katika nyaraka mbili hizi, ya jana na hii ya leo.
Natambua kuwa kuna maslahi ya watu yanaguswa sasa, ni wazi watataka kuvuruga hoja hizi, hapa itakuwa ngumu, vema waje kivingine, hoja ijibiwe na hoja.
Kama wasemaji na watetezi wa chama cha magamba BAKWATA watadai huu ni udini na kutaka serikali itawaliwe na wakristo nan ni chuki za za wakristo dhidi ya jk. Chonde chonde Bakawata na nyie toeni maoni yenu ya kujenga nchi na siyo interception.Safi sana! Tunawaomba na wenzetu BAKWATA watoe maoni yao mapema!