Katiba chache sana zagawanywa Wilaya ya Kinondoni

Katiba chache sana zagawanywa Wilaya ya Kinondoni

asanusye

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
216
Reaction score
131
Wakuu tume ya katiba imeleta katiba 10,000 kwa wilaya nzima ya kinondoni,yenye kata zote 34,na kila kata wamepatiwa katiba 300.
NAJIULIZA NANI ANATAKIWA KUHAIRISHA ZOEZI LA KURA YA MAONI?
mbona maandalizi hayaendani na kitu wanachokitaka?
Kinondoni yenye makadirio ya watubtakribani millioni 2.5
Kulete katiba 10,000 si mzaha huu?
 
sasa isisi raia wa tz tutawezaje kuzipata hizo katiba na kusoma na kisha tupige kura zetu za maoni hawa ccmserikali wana nini na sisi wananchi je wanatutakia mema kweli au ndo magirini yao kutaka katiba iingie kinyemela huku wamepunguza mambo ya mahimu kwetu wanakera sana hawa
 
Back
Top Bottom