Katiba gongana

Katiba gongana

inols

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
283
Reaction score
97
Msaada wa Ndugu, katika hatua tuliyofikia
NAENDELEA KUSOMA:Ibara ya 42 ya Katiba ya JMT, 1977 kama ilivyofanyika marekebisho mara kwa mara inasema Rais akishatangazwa ataassume office mara moja au ndani ya kipindi kisichozidi siku 7.Ibara ya 51 (2) inasema Waziri mkuu akishateuliwa lazima awe confirmed na National Assembly.Ibara hii pia inasema Rais atamteua waziri mkuu ndani ya siku 14 baada ya kuingia ofisini.Ibara ya 54 (1) inasema kutakuwa na baraza la mawaziri ambalo wajumbe wake watakuwa Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Rais wa Zanzibar naMawaziri.Ibara ya 66 (1)(c) inasema moja ya category ya member wa National assembly ni watu watano waliochaguliwa kutoka House of representatives.


Najiuliza.


1. Tanzania itakuwa na waziri mkuu baada ya siku 90 au tutafanya awepo kibabe?? Kwakuwa ili awe namamlaka ya kufanya kazi kihalali lazima awe confirmed na bunge.


2. Je Tanzania itakuwa na baraza la mawaziri baadaya siku 90 au tutaendelea experte? Hii ni kwakuwa Rais wa Zanzibar hayupo.


3. Najiuliza Tz itapata mawaziri baada ya siku 90 au tutachagua wa huku tu?


4. Je tutasubiri bunge kamili baada ya siku 90 kwa kuwa wenzetu wengine bado au tutasongesha kibabe??
NASHUKURU ZENJI IMEFANYA NIPATE WASAA WA KURUDIA KUSOMA KATIBA.,,Sidhani kwa upeo wangu mdogo kama maamuzi ya kufuta uchaguzi wa Zanzibar hayaathiri utendaji wa Bara mbali na kwamba tutasema zile za kule si halali ila za huku ni halali.Nimecopy sehemu hiyo
Hivi mseto ni jamii yote ya kunde zote?Jamani nao mseto wa CCM usiolika.
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania anaweza kuidhinishwa na wabunge wa upande mmoja tu wa Jamhuri?
 
Swali lako zuri sana. Anything is possible, hutakiwi kujiuliza sana.
Ikishindikana sheria zinabadilishwa tu au unazi twist tu kwani vipi?.
Maisha lazima yaendelee
 
Swali lako zuri sana. Anything is possible, hutakiwi kujiuliza sana.
Ikishindikana sheria zinabadilishwa tu au unazi twist tu kwani vipi?.
Maisha lazima yaendelee



Hapo umeongea. Si tuliona hali ilivyokuwa wakati wa bunge la katiba? hata maiti zilipiga kura!!!! au tumesahau?
 
kwa ccm hakuna wanalolishindwa coz wanaongoza maiti ambazo hata ufanyeje wao ni kama mizoga hawasemi so mpaka siku watanzania watakapo fufuka ccm ndo itaacha kuwahadaa watanzania
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania anaweza kuidhinishwa na wabunge wa upande mmoja tu wa Jamhuri?

Mkuu jipe muda kufuatilia kuna wawakilishi kibao wapo Dodoma from Zanzibar, acha utani wapo sasa hivi wengi tena wa vyama vyote! sema lingine!
 
kwa ccm hakuna wanalolishindwa coz wanaongoza maiti ambazo hata ufanyeje wao ni kama mizoga hawasemi so mpaka siku watanzania watakapo fufuka ccm ndo itaacha kuwahadaa watanzania

Kilio cha samaki wewe ndo umekufa aisee,huna hoja unakaa kimya tu sio lazima utokwe povu hapa!
 
Back
Top Bottom