bendaki
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 952
- 346
Matokeo ya uchaguzi 25 October 2015 ndipo tutajua majaliwa ya hitimisho ya mchakato wa Katiba Mpya.
Kama atakuwa ameshinda Maghufuli basi wote waliokiomba tupate katiba ya wananchi yaani ya rasmu ya Wariiba basi wakate tamaa hiyo kstiba haipo tena. Maghufuli lazima kwa mbinde zote zitashikia bango katiba pendekezwa. Lakini ikitokea mshindi ni Comrade Lowassa hivyo Ukawa watakuwa wamepata meno ya kupambana na Upatikanaji wa katiba ya wananchi. Wataanzia wapi hilo ni swala la wakati. Aidha kuanza kabisa au kuanzia pale alipofikia Warioba.
Katiba ndio dira yetu mengine yanayoongelewa hayatakuwa na maana kama katiba haitakuwa nzuri. Ningeshauri upigaji wetu kura ulenge kupata katiba mpya.