Katiba hapa hitimisho

bendaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
952
Reaction score
346
Matokeo ya uchaguzi 25 October 2015 ndipo tutajua majaliwa ya hitimisho ya mchakato wa Katiba Mpya.
Kama atakuwa ameshinda Maghufuli basi wote waliokiomba tupate katiba ya wananchi yaani ya rasmu ya Wariiba basi wakate tamaa hiyo kstiba haipo tena. Maghufuli lazima kwa mbinde zote zitashikia bango katiba pendekezwa. Lakini ikitokea mshindi ni Comrade Lowassa hivyo Ukawa watakuwa wamepata meno ya kupambana na Upatikanaji wa katiba ya wananchi. Wataanzia wapi hilo ni swala la wakati. Aidha kuanza kabisa au kuanzia pale alipofikia Warioba.
Katiba ndio dira yetu mengine yanayoongelewa hayatakuwa na maana kama katiba haitakuwa nzuri. Ningeshauri upigaji wetu kura ulenge kupata katiba mpya.
 
That's why nitachagua viongozi toka ukawa nipate katiba mpya
 
Hili ndilo swali la kuwauliza masisiemu kwenye kampeni zao.
Katiba, katiba, katiba, katiba.....
 
CCM wanajitahidi sana kutogusia suala hilo maana wanaliona kaa la moto.
 
Kuanzia sasa ukawa waende kwenye kampeni za CCM waulize hili swala la katiba mpya!
 
Pole sa hua hoja.agufui nio rRais wao wa awamu ya tano. uyo mzee wenenu labda asubiri awau ya kumi am atakwabado aa nguvu
 

Mkuu usitarajie katiba mpya kutoka kwa Lowasa hasa ile ya Warioba labda nao wanyofoe ila si kuwa ipite kama ilivyo, naomba utafute sifa za raisi kwenye ile Rasimu utajua kwann nasema hivo
 
Mkuu usitarajie katiba mpya kutoka kwa Lowasa hasa ile ya Warioba labda nao wanyofoe ila si kuwa ipite kama ilivyo, naomba utafute sifa za raisi kwenye ile Rasimu utajua kwann nasema hivo

Tulia wew dogo wa kisiasa. Katiba mpya inakuja kupitia ukawa. Utauona mziki wa ukawa baada ya october
 
Tulia wew dogo wa kisiasa. Katiba mpya inakuja kupitia ukawa. Utauona mziki wa ukawa baada ya october

Mkuu pitia hiko kipengele maana ninachoona kama itaenda kama ilivyo ile rasimu basi siku ya kupita iyo katiba na kuwa katiba rasmi ya Jamhuri ya Muungano Tz basi hapohapo Lowassa atakuwa hajakidhi vigezo kuwa raisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…