karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Kwani naye ni mjumbe kwenye hilo bunge, si mgelimuomba akaongoza mchakato vizuril!?Tuombe Mwenyezimungu
kodi yangu mimi ndo nalia nayo anayoenda kuichezea humo bungeni,.....
Umeanza vituko vyako miss maua! Hahahahahaaa!
Kodi yako ipi tena, ulimpa mjumbe gani?
Kwani naye ni mjumbe kwenye hilo bunge, si mgelimuomba akaongoza mchakato vizuril!?
kodi yangu mimi ndo nalia nayo anayoenda kuichezea humo bungeni,.....
imeniuma sana mbunge analipwa mshahara then anasimama anasema anadai posho iongezeka ili hali mwalimu anayemwakilisha analipwa chini ya hilo laki tatu kwa mwezi.
yani mimi nakatwa kodi hku wao wanaenda kufanyia mchezo wasipotoa katiba inayoeleweka nitakula nae sahani moja
hazitoshi nini hawa wanata na kuonga waonge ....Mmh! Tusubirie tu fujo lakini kwa miccm ilivyojazana kule hakuna kitakachoendelea labda wakajichukulie tu laki tatu tatu kwa siku! Tena wameshaanza kulalamika laki tatu haziwatoshi (habari kamili utaikuta 'jukwaa la katiba')
hazitoshi nini hawa wanata na kuonga waonge ....
Hahahahahaaa!
Nilijua umeshafika jukwaa la katiba, kumbe bado unang'ang'aa sharubu hapa!
Hem tangulia kule ukaone hoja zao, mi nitakuja mda sio mrefu!