Katiba hujadiliwa bungeni sio mitaani

Katiba hujadiliwa bungeni sio mitaani

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
Katiba ni mambo ya bunge wananchi hawajui kifungu chochote cha katiba. Ikivunjwa wabunge na serikali wamalizane bungeni. Hamuoni Trump anavyoendeshwa puta.

Hivi vya kuingia mtaani kuhamasisha wananchi wafanye fujo havikubaliki.

2249095f523c7b9c594f0118cbd45063.jpg
Ni wanasiasa waliofilisika kisiasa ndio wanaotumia mbinu hizi.
 
Mbona mvunjaji wa Katiba Mkuu yupo anazurura Nchi nzima hii na haguswi..!!

Na aliapa kuilinda na kuitetea Katiba hiyo mbele ya hadhara kubwa ya watu..

Mleta mada unamzungumzia nani anaevunja katiba??
 
Back
Top Bottom