Isaac JK
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 563
- 92
Duniani, Majeshi huwa hayaanzishi machafuko, machafuko huanzishwa na wanasiasa.
Jeshi hutekeleza tu amri za wanasiasa.
Madhaifu ya utendaji wa Jeshi hutokana na mapungufu ya busara za viongozi wa kisiasa.
Nifedheha kwa wanasiasa kulidhalilisha jeshi kwa kulitumia vibaya ila ni fedheha sana kwa jeshi kudhalilishwa na wanasiasa kwa kutii amri ya wanasiasa iliyokosa hekima na busara.
Utawala unaoheshimu katiba tu ndiyo unaoweza kumcontrol mwanasiasa juu ya nidhamu ya matumizi ya jeshi. Je nchi za africa, utawala wetu unazingatia katiba?
Its time kwa wanasiasa wa africa kuheshimu katiba walizoapa kuzilinda na kuzitunza ili kuepuka machafuko.