Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Unaona sasa kumbe ubunge wenyewe kwa ajili ya familia yako na si wajimbo lako. Acheni uoga baadhi lazima wafe kwenye hii course ya mabadiliko itawasaidi wanao baadae.Wakubwa tubanane tu kwenye ubunge, maana habari ya kwenda kufa huko na kuacha familia zetu, mmh hapo hapalipi
MMK umeniacha hapa aisee,sijakuelewa ati..Kwani JK si katiba inamruhusu kugombea kwa awamu nyingine???,kama ilivyokuwa kwa Mkapa na Mwinyi?..Naomba uniweke sawa hapa mkuu wanguKwa vile kuna kundi la watu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mtu mwingine yoyote (ndani ya CCM au nje yake) ambaye anaweza kuliongoza Taifa letu na kuwa Tanzania bila ngwe ya pili ya Kikwete haiwezekani basi CCM na mashabiki wa utawala bora wa Kikwete waamue kubadilisha Katiba ili waondoe vikomo vya utawala na ikiwezekana wapitishe uamuzi wa kumtangaza Rais Kikwete kama Rais wa Maisha wa Tanzania.
Kwa kufanya hivi angalau tutajua tugombee mambo ya ubunge tu kwani Urais tayari una mwenyewe!
MMK umeniacha hapa aisee,sijakuelewa ati..Kwani JK si katiba inamruhusu kugombea kwa awamu nyingine???,kama ilivyokuwa kwa Mkapa na Mwinyi?..Naomba uniweke sawa hapa mkuu wangu
The moment upuuzi huo wa mtu kujifanya hii nchi ni mali yake utakapowadia, basi ajiandae kwa laana zitakazo muandama. Watu watakataa huo upuuzi na tutamtengeneza shetani ambaye tutaona haya maisha yetu yote kumtazama usoni kwa jinsi ubaya wa uso wake ulivyo.Yes, tunaweza kabisa kuwandaa watu mfano wa kina Kapteni Moussa Dadis CamaraIkitokea hivyo, tutarudi kule kule kwenye kutafuta kupinduana. Maana nina amini, utaratibu huu wa kikatiba unasaidia kuendeleza amani kwa kiasi fulani. Nani asietaka kuwa kiongozi wa nchi siku moja?
Dunia ya sasa hakuna mtu anaeweza kusema yeye ni bora kuliko wengine wote. Infact, siwezi kusema natamani serikali hii iendelee kwa muda mrefu zaidi.
Msinifanye nihame nchi na kutafuta uraia wa nchi nyingine, jamani.
Katiba haitabadilishwa lakini JK atagombewa mara ya pili kama katiba inavyotaka period!Kwa vile kuna kundi la watu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mtu mwingine yoyote (ndani ya CCM au nje yake) ambaye anaweza kuliongoza Taifa letu na kuwa Tanzania bila ngwe ya pili ya Kikwete haiwezekani basi CCM na mashabiki wa utawala bora wa Kikwete waamue kubadilisha Katiba ili waondoe vikomo vya utawala na ikiwezekana wapitishe uamuzi wa kumtangaza Rais Kikwete kama Rais wa Maisha wa Tanzania.
Kwa kufanya hivi angalau tutajua tugombee mambo ya ubunge tu kwani Urais tayari una mwenyewe!
Cynically, naunga mkono hilo juu. Kwasababu zifuatazo:Sasa, wakibadili Katiba na kuondoa kikomo cha awamu (term limits) Rais Kikwete ataweza kugombea tena 2015 na 2020. Lakini kwa vile tayari tunajua kwa maoni yao ndiye kiongozi bora basi hakuna hata haja ya kumpambanisha na watu wengine. Ni bora kumtangaza tu kuwa atakuwa ni Rais wa Maisha (wa kudumu) hadi pale atakapoamua kuchoka mwenyewe au tendo la Mungu liingilie kati.
--- Linaweza kuendeleza undugu badala ya udugu.Ukifikiria sana utaona kuwa pendekezo hili lina faida kubwa sana kwa utawala wa demokrasia, kwani litaendelea umoja, udugu, mshikamano na mustakabali bora kabisa wa taifa letu.
Katiba haitabadilishwa lakini JK atagombewa mara ya pili kama katiba inavyotaka period!
Katiba inakuruhusu wewe na kundi lako kuchukua form nakugombea ikiwa mnaamini kwamba JK ameshindwa na kuna chochote cha kuwafanyia wa Tanzania cha ziada Ok
Kikundi kinachoamini kwamba kikwete anafaa hakijasema kinataka kuvunja katiba iliyopo..wewe unataka kuwafundisha wavunje katiba kwa sababu za hisia zako shame on you..chukua form tukuone jukwaani...otherwise acha blah blah za kupotosha watu!
REDET hao ndo walevi namba moja...tafiti zao zote zina magengeza..Yaani wanaona u hopeless wa serikali ya JK lakini bado wanasema JK safi kweli kwelii...
Kumbe hilo ndo tatizo!This was the best opportunity to sort out the really health issue once and for all.What other 5 years term would add is more stress in the already stressed body.mkifikiria sana utaona kuwa pendekezo langu kwa kweli ndilo pendekezo bora zaidi la kutusaidia kuachana na uongozi uchwara. Maana hata yeye anashindwa kufanya kazi nyingi hasa kwa mfano mwaka huu akifikiria mambo ya uchaguzi! Anaogopa hata kwenda kufanyiwa upasuaji bwana.
Aagh! Kumbe mwanakijiji anaamini ushirikina wa yahaya..anayemuamini na kumuogopa yahaya ni mjinga wala hafai kuwa mwenyekiti wa tawi..Mkjj anataka agombee kupitia CCM, kikwazo ni lile tamko/ramli ya Sheikh Yahya ambayo Ikulu wameiridhia... sasa afanyeje asife au kuuliwa hali mapenzi yake ni CCM??!