Katiba ifanyiwe marekebisho, marais wastaafu waruhusiwe kugombea tena

nimemulewa mnoo mtoa mada ..yaani anaona niangalau nchi hii kuongozwa tena na watu hao endapo watu wengine wakuiongoza nchi watakuw hawapo ..kuliko nchi kuendelea kuongozwa na huyu mtusi
Unajua ni vibaya sana kuunga mkono kilio cha mtu bila kujua sababu. Huyu anayelialia nini hasa kimempata. Ukimuuliza hana cha kusema kimempata. Hapa sasa ndo kinachoitwa maisha na pesa. Pesa ni bidhaa adimu na ndiyo maana inakuwa na thamani. Anayevizia kuiba, kukwepa kodi, migomo ya EFD, nk. bora ahame. Kwangu mimi uzi uwe ni huo huo!
 
Rais ndo anaeshika dola ktk kila sekta unaposema apewe nafasi ya kugombea kwa awamu ingine,je ikitokea rais dikteta akigombea na kutumia power yake kupata ushindi wa kura c ndo tutakwisha milele.Futa mawazo ya kupimbavu hayo.
 
Rais ndo anaeshika dola ktk kila sekta unaposema apewe nafasi ya kugombea kwa awamu ingine,je ikitokea rais dikteta akigombea na kutumia power yake kupata ushindi wa kura c ndo tutakwisha milele.Futa mawazo ya kupimbavu hayo.
unaelewa ulichokiandika ? ujinga mzigo
 
Kuna watu hamna kazi za kufanya,siasa zimewashinda kila kitu kimewashinda mmeanza kuja na mada nyepesi za kufikirika,poleni sana.
 
Huyu tuna mpango wa kumuongeza miaka saba hii mitano haitoshi
Sawa, nafasi yoyote atakayopata itapita na kuisha pia na atapumzika. Point yangu ni tusisumbue walio tayari kupumzika. Labda kama wao wenyewe wameonyesha Nia.
 
Mzee Pogba, uwe unapita mitandaoni utafahamu ukweli halisi wa kinachoendelea
 
Lakini tukubali pia kuwa JK alifikia kuchoka. Ushahidi mmojawapo wa kuchoka huku ni pale alipokosa succession plan ya kuleta mtu wa kuendeleza pale alipoachia. Mkiniambia succession plan ya JK ni haya tunayoyaona sasa, hiyo pia ni sehemu ya failure yake, na ni sababu tosha ya kusema tumtendee tu haki kwa kumshukuru kwa mema aliyofanikisha tumwache ale pensheni yake, ni haki yake kupumzika baada ya changamoto alizopitia.
 
Alichokifanya ni nini ndugu? Safari za US au nini?
 
Huyu mzee wetu ni mwanasiasa haswa, master mind, anajua afanye nini kwa wakati gani, hakurupuki na anapokea ushauri, kwa kifupi yupo smart sana na maamuzi anayoyafanya.
...Ni Mkuu wa Chuo (UDSM), hembu tisubilri kuona ataleta mapya gani pale...
 
Unajaza jf kwa nyuzi zako mfululizo
 
Acha ujinga.Watanzania wenye uwezo na elimu tuko wengi na tunauhitaji sana uraisi nasi tule tunu za nchi yetu.
 
Mm napenda ifanyiwe marekebisho kwanguvu walizopewa na ndugai wawekee kipengele mh wowote akifa ende akafufuliwe na ccm wa mteuwe tena

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wamesahau nini katika uongozi,wapumzike na tutawaheshimu kwa maamuzi yao hayo ya busara na hekima.Hatuwezi kukosa kiongozi mzuri apart from them katika WaTZ 58m na ushei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…