Abel kaholwe
Member
- Aug 31, 2011
- 10
- 0
Nimekuwa na dhamira ya kugombea ubunge tangu nikiwa kidato cha tano,NI takribani miaka Saba(7), Nilibweteka na kufikiri kuwa ninaweza jiandaa na maisha,LA HA SHA,maisha NI haya tunayoishi,tunahitaji jamii yenye viongozi wenye Kulinda katiba na kuitumia katiba kwa ustawi WA jamii wanayoiongoza,.
Tanzania inahitaji vijana,vyama via siasa Tanzania vinaandaa vijana,shukrani kwa dhati kwa vijana wanachama na wakereketwa wa CCM kwa kuwa wanachama wa CCM na UVCCM pia,tukumbuke majukumu na haki zetu kwa mujibu WA katiba,kanuni na ilani ya chama na jumuiya katika kutumia changamoto zinazotukabili kuwa fursa ZA kufanya maendeleo..
Experience is the best teacher,...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikishiriki chaguzi na mambo kutokwenda sawa,sababu za kushindwa ningekuwa zikinijenga kila siku,
....nilishindwa muccso kwa jina langu kutojupitishwa na tume,
....nikashindwa uchaguzi mwingine kwa kuzidiwa kura,
#NEXT time nitashinda popote.
- Siri ya mafanikio haya UKWELI,UZALENDO NA USHIRIKIANO.
Mapinduzi YA MITAJI
Mapinduzi YA KILIMO(agricultural industries)
Mapinduzi YA MAKAZI
Ni kazi kubwa nahitaji kufanya na jimbo lolote Tanzania,
TUJENGE UCHUMI!