Katiba ili iwe Mpya ni lazima Muundo wa Muungano uwe wa Serikali 1 au 3 Kitu ambacho sijasikia Chadema wakikisema!

Katiba ili iwe Mpya ni lazima Muundo wa Muungano uwe wa Serikali 1 au 3 Kitu ambacho sijasikia Chadema wakikisema!

Ili kufanya tuwe wamoja na kama kweli tunaupenda muungano basi kuwe na Serikali 1 tu.

Taunga mkono mwanasiasa yoyote atakaeitaka serikali 1 na sio mbili wala 3 za kutugawa.

Tumeshakuwa wamoja maana tunamuingiliano mkubwa wa kindugu,Kwanini tusiwe na Raisi mmoja atakaekuwa na mamlaka kote.
 
Moja tu, wazanzibari na wabara ni watu wamoja, ikulu moja ya Dodoma inatutosha wote. Tunaweza kuwa na wizara maalum ya mambo ya Zanzibar.
 
Wazanzibari ni walalamishi, wabinafsi, na wenye chuki kali sana dhidi ya watanganyika bora selikali tatu (03)

Kuwaleta karibu kwa serikali moja (01) ni kuendelea kujiumiza

Wao waambie habari kuhusu waarabu utaona minjino yote nje
 
Mambo mengine yote kila Mtu anayajua wala hayahitaji Elimu

Chadema watuelimishe faida za Serikali Moja na Serikali Tatu

Ahsante!
Kwanini chadema?hoja ya muungano ni ya chadema? kwanini CCM wasitueleze Faida ya serikali moja na tatu?
Halafu faida ya serikali mbili.
 
Back
Top Bottom