J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 25, 2023 #1 Mambo mengine yote kila Mtu anayajua wala hayahitaji Elimu Chadema watuelimishe faida za Serikali Moja na Serikali Tatu Ahsante!
Mambo mengine yote kila Mtu anayajua wala hayahitaji Elimu Chadema watuelimishe faida za Serikali Moja na Serikali Tatu Ahsante!
M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 871 Reaction score 1,475 May 25, 2023 #2 Ili kufanya tuwe wamoja na kama kweli tunaupenda muungano basi kuwe na Serikali 1 tu. Taunga mkono mwanasiasa yoyote atakaeitaka serikali 1 na sio mbili wala 3 za kutugawa. Tumeshakuwa wamoja maana tunamuingiliano mkubwa wa kindugu,Kwanini tusiwe na Raisi mmoja atakaekuwa na mamlaka kote.
Ili kufanya tuwe wamoja na kama kweli tunaupenda muungano basi kuwe na Serikali 1 tu. Taunga mkono mwanasiasa yoyote atakaeitaka serikali 1 na sio mbili wala 3 za kutugawa. Tumeshakuwa wamoja maana tunamuingiliano mkubwa wa kindugu,Kwanini tusiwe na Raisi mmoja atakaekuwa na mamlaka kote.
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 4,437 Reaction score 13,836 May 25, 2023 #3 Moja tu, wazanzibari na wabara ni watu wamoja, ikulu moja ya Dodoma inatutosha wote. Tunaweza kuwa na wizara maalum ya mambo ya Zanzibar.
Moja tu, wazanzibari na wabara ni watu wamoja, ikulu moja ya Dodoma inatutosha wote. Tunaweza kuwa na wizara maalum ya mambo ya Zanzibar.
Automata JF-Expert Member Joined Mar 3, 2015 Posts 3,414 Reaction score 4,794 May 25, 2023 #4 Wazanzibari ni walalamishi, wabinafsi, na wenye chuki kali sana dhidi ya watanganyika bora selikali tatu (03) Kuwaleta karibu kwa serikali moja (01) ni kuendelea kujiumiza Wao waambie habari kuhusu waarabu utaona minjino yote nje
Wazanzibari ni walalamishi, wabinafsi, na wenye chuki kali sana dhidi ya watanganyika bora selikali tatu (03) Kuwaleta karibu kwa serikali moja (01) ni kuendelea kujiumiza Wao waambie habari kuhusu waarabu utaona minjino yote nje
joe78 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 315 Reaction score 356 Jul 22, 2023 #5 johnthebaptist said: Mambo mengine yote kila Mtu anayajua wala hayahitaji Elimu Chadema watuelimishe faida za Serikali Moja na Serikali Tatu Ahsante! Click to expand... Kwanini chadema?hoja ya muungano ni ya chadema? kwanini CCM wasitueleze Faida ya serikali moja na tatu? Halafu faida ya serikali mbili.
johnthebaptist said: Mambo mengine yote kila Mtu anayajua wala hayahitaji Elimu Chadema watuelimishe faida za Serikali Moja na Serikali Tatu Ahsante! Click to expand... Kwanini chadema?hoja ya muungano ni ya chadema? kwanini CCM wasitueleze Faida ya serikali moja na tatu? Halafu faida ya serikali mbili.
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jul 22, 2023 #6 Mambo ya Mtikila, RIP.