STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,771
- 553
Kwa namna ya pekee naipongeza CDM na viongozi wake kwa kuamsha ari ya waTZ kudai katiba mpya ya Tanganyika maana Zenji tayari wana yao.
Mwamko huu wa watu umikuja mara baada ya uchaguzi mkuu na kuwafanya watu kuitafuta katiba hii iliyoko sasa na kutaka kuifahamu. Kwa sasa vijana wengi wamekuwa wanatafuta Hard copy ya katiba ili angalau na wao waisome.
Saa ya ukombozi imekaribia, na ile jeuri ya CCM kuwaongoza waTZ kwa kutowapa elimu ya uraia inafikia ukingoni.
Peoples Power.