Katiba imelindwa au imevunjwa

kizuiani

Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
73
Reaction score
130
Nataka kujua wataalamu wa Sheria wanasemaje kuhusu uhai wa baraza la mawaziri pindi mtu mwingine anapokula kiapo cha kuwa Rais wa nchi .
 
Nataka kujua wataalamu wa Sheria wanasemaje kuhusu uhai wa baraza la mawaziri pindi mtu mwingine anapokula kiapo cha kuwa Rais wa nchi .
Baraza linabaki pale pale.
Ila sehemu ambapo patakuwa na ulazima wakufanya mabadiliko, mabadiliko hayo yatafanyika ila sio kwamba ni lazima kwa muda huu avunje baraza hilo nakufanya uteuzi mpya hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…