MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Wakuu habari ya mapumziko ya mwisho wa wiki?.
Kesho ni siku muhimu inayosubiriwana Wakenya kujua msitakabali wa kiongozi wao.
Majaji saba wa mahakana ya upeo hivi sasa wamejifungia wakiandika hukumu ya shauri la kumthibitisha Ruto au kufuta uchaguzi
Hukumu hiyo itasomwa na Mh Jaji mkuu.Kama ambavyo haikuwahi kutarajiwa tume kugawanyika,Je itakuwaje Majaji wakigawanyika? Kwa maana kwamba Mh Jaji mkuu anayepaswa kusoma hukumu ( Kama ilivyotokea kwa Chebukati aliyekuwa na mandate ya kumtangaza mshindi) Akiwa na maoni tofauti na yakaungwa mkono na Majaji wawili wakawa watatu dhidi ya wanne na kwakuwa yeye ndo msoma hukumu akalazimisha upande wake ( yeye na wengine wawili) ndiyo uwe rulling na wale wanne wakafanya kama makamishona wanne wakaenda Serena katiba inaelekeza nini kayika mazingira hayo?.