Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,158
Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao.
Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko madarakani amepata ajali na amekuwa mlemavu au anatembea kwa kuchechemea hatima itakuaje katika uchaguzi ujao?