Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,158
Katiba haijakataza mlemavu kuwa kiongozi. Alimradi ana akili timamu.Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao.
Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko madarakani amepata ajali na amekuwa mlemavu au anatembea kwa kuchechemea hatima itakuaje katika uchaguzi ujao?
Utazinduaje ubungo interchange na baiskeli ya walemavuDaisy Llilies,
Akiwa hata hana miguu atabaki kuwa rais kama atashinda. Katiba inazungumzia magonjwa ambayo yatamfanya asi-perform majukumu ya urais.
Kilema atawekwa kwenye baiskeli za walemavu. Huko Marekani Roosevelt aliongoza nchi akiwa kwenye baiskeli ya walemavu.
Kasome katiba upya, inajieleza vizurì utimamu unaotakiwa.Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao.
Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko madarakani amepata ajali na amekuwa mlemavu au anatembea kwa kuchechemea hatima itakuaje katika uchaguzi ujao?
Hao si nimabeberu, utawatoleaje mfano?Daisy Llilies,