omunatta JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 236 Reaction score 139 Oct 3, 2015 #1 nilimsikia tundu lisu akisema sheria haiko wazi namna rais atavyokabidhi madaraka hili likoje wanasheria wenzengu tukilejea kwenye ibara ya 42 (3) ya katiba
nilimsikia tundu lisu akisema sheria haiko wazi namna rais atavyokabidhi madaraka hili likoje wanasheria wenzengu tukilejea kwenye ibara ya 42 (3) ya katiba
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,094 Reaction score 3,108 Oct 3, 2015 #2 ngoja ninywe chai then nije kuelezea mm kama mwanasheria nguri hapa nchini