Balozi wa nyumba 10 hana mamlaka yoyote kisheria , mimi sijawahi kuwaheshimu wala kuwatii , kwanza wananiogopa vibaya sana !Habari za kazi ndugu wadau.Napenda kuuliza hivi katiba ya tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabarozi.
Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii.Barozi
ccm,mwenyekiti CCM,diwani ccm,mbunge CCM mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,wote CCM,IGP cccm,mtendaji kata CCM, Katibu tarafa CCM,COVID 19 CCM ,SPIKA CCM,Mahakama CCM.
Is there any real Man in Tanzania??
Wao wapo kwa ajili ya CCM. Wewe sio mwana CCM. Uwaheshimu usiwaheshimu inawahusu nini? After all jitahidi kumuheshimu kila mtu. Itakuletea faraja rohoni mwako.Balozi wa nyumba 10 hana mamlaka yoyote kisheria , mimi sijawahi kuwaheshimu wala kuwatii , kwanza wananiogopa vibaya sana !
KATIBA hii ni ya CCMhatambuliwi kikatiba hasa katiba ya nchi
Mwanachama wa CCMHakuna mtu analazimishwa kuhudumiwa na Mabalozi wa Nyumba kumi.
Hakuna Mahali balozi ameorodheshwa kwenye Pay-roll ya serikali.
Mabalozi wa Myumba 10 ni nguzo kuu ya CCM kuwafikia wanachama wao kwa Grass- Root.
Wakati vyama vingine vikiwa na ofisi zilizozungukwa na vichaka kwa kusahaulika.View attachment 2412034