Katiba inasemaje kuhusu raisi kuagiza hakimu ahamishwe haraka

Katiba inasemaje kuhusu raisi kuagiza hakimu ahamishwe haraka

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,697
Imetokea hii leo katika kata ya Kwachuma ambapo raisi aliagiza kuondolewa kwa hakimu wa mahakama ya mwanzo , wanasheria watusaidie katiba inasemaje , wakati mwingine unaweza dhani ameingilia uhuru wa mhimili mwingine kumbe yupo sahihi
 
Kwa kifungu gani cha katiba
Ah,
Aliemaga tu Mkulu siku moja, ki ukweli sijui hata alitumia kifungu gani manake mi si mtaalamu sana wa hizi vitu. Kwani hukumbuki Mkuu??
 
Mimi huwa sielewagi kabisa,sio Tanzania tu bali nchi karibia zote juu hili suala la mihimili mitatu.Mahakama na bunge zinalinganishwaje na executive(samahani sijapata msamiati sahihi wa hili neno)wakati hiyo executive ndo inalipa mishaara hiyo mihimili mingine.Mi naona wangesema matawi ya executive na sio mihimili,angalu bunge lina nguvu kiasi hata sipika wanachagua wenyewe japo executive inakuwa imeshatayalisha huyo spika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom