Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Kushiriki bila ubaguzi katika uchaguzi na ngazi zote za maamuzi [Ibara za 57 (c) na129(4)].
Fursa na haki ya ujira sawa na wanaume kwa kazi zenye sifa zinazofanana [Ibara ya 57 (d)];
Kupata huduma bora za afya ikiwemo afya ya uzazi salama [Ibara ya 57(f )];
Haki ya kupata kumiliki mali [Ibara za 57(g), 47(1) na 23(2)]. Haki hii ni muhimu sana katika maendeleo ya wanawake hususan kwa sehemu ambazo wanawake wamekuwa wakinyimwa haki ya kumiliki mali.
Ajira ya mwanamke kulindwa wakati wa ujauzito na anapojifungua [Ibara ya 57(e)];
Haki ya kupata maji safi na salama [Ibara ya 51];
Haki ya kusaidiana katika matunzo na malezi ya mtoto [Ibara ya 53(1)(g)]. Hii ni fursa ye pekee kwa wanawake ambao walikuwa wametelekezwa na wenza wao.
View attachment 235864