Katiba inayopendekezwa imezingatia haki ya uhuru wa habari na vyombo vya habari

Katiba inayopendekezwa imezingatia haki ya uhuru wa habari na vyombo vya habari

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 40 inatoa haki na uhuru wa mtu na vyombo vya habari kutafuta, kupata, kutumia na kusambaza habari na taarifa sahihi.
Ibara hii inaondoa malalamiko ya muda mrefu ya wanahabari na wamiliki pamoja na vyombo vya habari ya kutokuwa na uhuru katika utekelezaji wa kazi na majukumu yao ya kila siku.

Soma Katiba Inayopendekezwa katika Ibara yake ya 40 na vifungu vyake vyote ndipo utapata kuelimika zaidi na zaidi kuhusiana na uhuru huu unaoongelewa hapa.

View attachment 234742
 
Back
Top Bottom