Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Tanzania ni kati ya nchi nyingi duniani zinazojali demokrasia ya kuwa na vyama vya siasa ambavyo ndivyo vinafanya kazi kwa mujubu wa kisheria. Katiba Inayopendekezwa haijaliacha suala hilo nyuma imelisimamia vema na kuainisha majukumu yao na namna vitakavyofanyakazi zao. Hongera Tz kwa kukubaliana wazo la Katiba Mpya.