Katiba inayopendekezwa ni ipi hapa Tanzania?

Katiba inayopendekezwa ni ipi hapa Tanzania?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ni kitu kizuri kuichambua katiba na kuitendea inavyotaka maana miaka na miaka lazima kabita inaweza kubadilika hila si kwa wote kulingana na nchi.

Tukija kwenye katiba ya zamani bado kuna sehemu inaonyesha inapendelea yule mshika madaraka kuliko asiye shika madaraka,ndio maana mpaka leo uvutani na kusabisha kuzuka kwa katiba mpya ya jaji warioba ikiwa na mapendekezo mengi.ila ilipopotelea ilipotelea wenyewe mashaidi.

Swala linakuja katiba ya zamani vs katiba ya warioba bado kama kitendewali kwa serekali kupokea.

Baada ya mama SHH kuingia tunaona Chadema wanataka katiba mpya.

Hiyo katiba mpya ni hipi ! Ya zamani kuondolewa vifungu,ya warioba kupitishwa au chadema kulazimisha mchakato mpya wakatiba kwa wananchi tuanze upya.
 
Hamna katiba ya chama hapo,katiba mpya ina vipengele vingi vinavyotakiwa ,mfano tume huru,uchaguzi kutosimamiwa na wakurugenzi nk,watakuja wengine.
 
Back
Top Bottom