assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Kwa kweli viongozi wetu saivi ni mzigo, katiba iruhusu wananchi kuwapigia kura ya kutokuwa na imani endapo tutakusanya saini za watu zakutosha. It is too much rais, waziri mkuu pamoja na baraza la mawaziri ni mzigo kwa Taifa.