Kwa kweli viongozi wetu saivi ni mzigo, katiba iruhusu wananchi kuwapigia kura ya kutokuwa na imani endapo tutakusanya saini za watu zakutosha. It is too much rais, waziri mkuu pamoja na baraza la mawaziri ni mzigo kwa Taifa.
Kwa kweli viongozi wetu saivi ni mzigo katiba iruhussu wananchi kuwapigia kura ya kutokuwa na imani endapo tutakusanya saini za watu zakutosha it is 2much raisi, waziri mkuu' pamoja na baraza la mawaziri ni mzigo
>Niliandika hii hoja kama maoni yangu.
>Nilisema viongozi hasa rais baada ya miaka 2 au 3 tupige kura ya kuwa na imani naye.
>HII INAWEZA KUMFANYA KIONGOZI/RAIS KUWAJIBIKA NA KUWA MAKINI WAKATI WOTE WA UONGOZI WAKE.