Maombi yangu naomba katiba isifanyiwe siasa kama siasa zinavyofanyika kwenye mambo ya msingi sana kama vile uwaz wa serkali na kutoa maisha bora kwa kila mwanachi. Endapo katiba itafanyiwa siasa maisha yetu watanzaia yataharibika zaidi ya sasahivi na kufanya viongoz waharibu tunu za wanacnhi.