fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Rais mara kadhaa nimesikia ni taasisi, yapo mengi kwawale ambao vichwa vya zimewapatia hifadhi ya mambo watakumbuka majibu yabungeni, hasa lukuvi akiwa anamlinda rais kama alivyoapa. Alihoji na kusema siovema kutumia jina la rais kwa jina lake, maana rais ni taasisi sio mtu mmoja. Tumesikia mengi kuhusu rais kuwa nitaasisi.
SWALI LANGU SASA kikatiba tuna cheo kwenye katibakinachoitwa mke wa rais??? yaani taasisi ya rais ina mke??? je ni sahihi mtukujiita mke wa rais??? au tunaona aibu kuweka mambo vizuri hususani palewakubwa wanapokosea? TZ tumejenga utamaduni wa kuogopa kukosoana nakufundishana maana kama utamkosoa mkubwa, na asipende kile umemkosoa itapatahali ngumu.
Mbona ni aibu sana kwa kiswahili chetu, mtu kujiita mkewa taasisi, ina maana rais akifa ukachaguliwa kuwa rais unaweza rithi yule mamaaliyejiita mke wa rais, maana rais masaa 24 huwa yupo TZ hata kama kwa jinaanakuwa safari lakini taasisi ipo, ndo maana kunanidhamu ile ile rais kwa jinaakiwa nje ya nchi na akiwa ndani maana rais taasisi ipo fixed hakuna mabadilikoyoyote wakati wowote.
Najua makamu wa rais yupo kikatiba na ndiye msaidizi warais moja kwa moja iwapo rais atamtuma au kushindwa kutekeleza majukumu yakekutokana na sababu yoyote. SASA swali langu kama tunakubaliana kuwa ni sahihikujiita mke wa rais, huyu mke baadaye anaweza kuwa mme wa rais, kiprotokalianakaa wapi? Juu ya makamu au chini.
Nataka tu kujifunza kipi ni sahihi kikatiba, Kuna kitukama mke wa rais? Kama kipo je sio vyema wakati rais anagombea cv yake huyo mkeau mme pia iambatanishwe maana ni mtu ambaye pia ni sehemu ya rais kama ilivyokwa makamu wa rais?