Baada ya kusikiliza mahojiano ya Dr Slaa juu ya sababu za Chadema kutoka bungeni, naona moja ya madai yao ni Katiba mpya. Sawa...ni kweli tunahitaji katiba mpya, lakini mimi najiuliza ivi cha muhimu zaidi kwa sasa sio kupata NEC mpya zaidi ya Katiba. Hiyo Katiba mpya inamgusa vipi mwananchi kwa sasa. Nadhani mwiba kwa wananchi kwa sasa ni NEC na uwezo wake wa kuhujumu matokeo. Na hili ndilo lingetakiwa kupewa priority.
Wadau mnaonaje?
baada ya kusikiliza mahojiano ya dr slaa juu ya sababu za chadema kutoka bungeni, naona moja ya madai yao ni katiba mpya. Sawa...ni kweli tunahitaji katiba mpya, lakini mimi najiuliza ivi cha muhimu zaidi kwa sasa sio kupata nec mpya zaidi ya katiba. Hiyo katiba mpya inamgusa vipi mwananchi kwa sasa. Nadhani mwiba kwa wananchi kwa sasa ni nec na uwezo wake wa kuhujumu matokeo. Na hili ndilo lingetakiwa kupewa priority.
Wadau mnaonaje?
I beg to differ...Katiba is not neccessaily kila kitu. Kuna a separate piece of legislation which deals with the creation and powers of NEC. Katiba is simply a written document which states the powers and the limits of the govt. Nakubaliana kuwa kweli inahitaji kubadilishwa na kupunguzwa kwa mamlaka ya rais...lakini hicho sio mwiba kwa Chadema kwa sasa.
Ivi mwiba kwa mwananchi ni Katiba kweli?
mwiba kwa Chadema ilikuwa ni Katiba?

this constitution is "Obsolete" too much changes, amendments and revisions.......it is also not user friendly..... please tusioge alafu tukavaa nguo chafu
ndugu
katiba ndo kila kitu ndo imempa madaraka president ku changua wakuu wa NEC sasa usipo badili hicho kipengele kwenye katiba utawezaje kubadili hiyo separate piece of legislation?
huoni kama zita contradict kama tukiacha katiba ilivyo na hiyo document ikasema tofauti
Vyombo vyote muhimu vipo chini ya katiba, uteuzi wa wakuu wa hivyo vyombo upo chini ya katiba hivyo kubadili katiba ndo mwanzo wa kila kitu. Usidhani kuwa haja ya katiba mpya inakuja shauri ya CHADEMA imedhulumiwa bali kulikuwa na ulazima huo toka zamani
basi watupe mwanga zaidi wananchi ni mabadiliko gani wanayataka kwenye katiba!