Katiba mpya, Bravo Startv

mams

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2009
Posts
614
Reaction score
30
Wana Jf, nimekuwa nafuatilia michango mbalimbali juu ya katiba mpya. Ili kuleta uelewa kwa kada mbali mbali binafsi nimeridhika na kituo cha Startv kwani wameona umuhimu kwa kuandaa kipindi kila wiki kuwahusisha wachambuzi mbalimbali. Hii ni njia muafaka ya kuwaelimisha Watz na ningeomba vyombo vya habari vingine vifuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…