Katiba Mpya byebye tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi

Katiba Mpya byebye tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Kwa ushindi huu wa CCM, you can kiss katiba mpya yenye maoni ya wananchi goodbye!
Katiba mbovu ya CCM na mfumo mbovu utaendelea kuitawala nchi hii for the next 50-100yrs.
You will reap what you have sown Tanzania.
One day wajukuu zenu watawashangaa sana nyie vizazi mlotangulia!
 
nyie watu wa ajabu sana mlidai katiba mpya mkakubali kufika mezani mkasepa.sasa hivi hakunawkt wa kuwabembeleza ni kazi tu
 
Kwa ushindi huu wa CCM, you can kiss katiba mpya yenye maoni ya wananchi goodbye!
Katiba mbovu ya CCM na mfumo mbovu utaendelea kuitawala nchi hii for the next 50-100yrs.
You will reap what you have sown Tanzania.
One day wajukuu zenu watawashangaa sana nyie vizazi mlotangulia!

warioba mwenyewe kesha ikanyaga sisi wakulima tufanye nini
 
Acheni kumsingizia MUNGU kwa uvivu wenu wa kutumia vichwa vyenu ipasavyo kama yeye aliewaumba alivyokusudia. uwezo na utashi wa kiakili ambao MUNGU alitupatia hadi sasa tumemuaibisha na kumsononesha sana.
 
Ni kweli. Kuikataa UKAWA ni kuikataa rasimu ya Katiba iliyotokana na maoni ya wananchi. Na nafikiri kwa matokeo haya ya uchaguzi, CCM sasa watamalizia mchakato ule kwa uhakika zaidi.
 
Back
Top Bottom