Katika mjadala mhimu wa kupata Katiba Mpya ni busara kusikia maoni ya Wachambuzi mbalimbali ili wananchi wapate maamuzi sahihi baada ya kusikia maoni mbalimbali. Huyu mzee simsikii popote hata katika midahalo iliyoandaliwa na Taasisi mbalimbali. Yuko wapi? Taasisi zinazoandaa midahalo hii kwa nini hazimwaaliki? Ndiyo kusema hazitambui hazina hii adimu?