KATIBA MPYA: hivi ndivyo wasemavyo watanzania

Topical unasema MoU (serikali/dini) zivunjwe: Zikivunjwa madhehebu husika na waumini wao hawataathirika ila watahuzunika kuona ndugu, jirani na jamii kwa ujumla wasio waumini wao kukosa huduma kwa ambazo baadhi serikali imeelemewa. Huu ndio uwazi na ukweli. Tafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…