KATIBA MPYA: Hongera Mhe Mnyika-Bunge kukubali Hoja yake ni Ushindi

KATIBA MPYA: Hongera Mhe Mnyika-Bunge kukubali Hoja yake ni Ushindi

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
444
Reaction score
19
Source: NIPASHE Ijumaa Januari 28,2011 Uk wa 3

Heading: Spika Aitisha Hoja ya Mnyika ya Katiba

Abstract: Bunge limekubali Mnyika awasilishe maelezo ya hoja ya sheria ya kuratibu mchakato wa kuandika Katiba Mpya!!!!!!!!!!!
Huu ni ushindi mkubwa dhidi ya wajanja waliotaka kuelekeza mchakato kwenye njia huria ili baadaye wauteke nyara na kufikisha taifa kwenye umwagaji damu (bloodshed) kwa kusingizia CDM ndiyo chanzo!!!!!!!!!!!!! USHINDI!!!!!!!!!:msela:
 
Ishu sio Bunge kukubali hoja, nini kitaamuliwa na bunge hilo ndo ishu. Mjengo wa gharama kubwa yanayatoka humo sanaa tuu.

Kumbuka ccm ndo wengi mjengoni.
 
Wewe siyo CCM ile iliyokataa malipo ya Dowans; wewe kumbe hujasoma upepo ndani ya CCM ya sasa!!!!!!!!!! Wewe hujui kwamba wabunge wa CCM ndiyo wako nyuma ya hoja hii kupelekwa bungeni ili waungane na rais wao kupata katiba mpya??????????????!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa sasa hivi wabunge wengi wa ccm wanajitenga na serikali, wamejifunza kutokana na uchaguzi uliopita. Sasa hivi kila mbunge atajitahidi kufanya kila liwezekanalo kuwafurahisha wananchi wake vinginevyo 2015 patakuwa pagumu. Ni matumaini yangu kuwa watakuwa mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya taifa.

Hongera Mnyika.
 
Well said...

Wabunge wa sisiem wana kumbukumbu nzuri ya yaliompata RAU, KARAMAGU, MRAMBU and the like.
Wananchi wakiamua ndio wenye kauli ya mwishooooo...... Hata JK/CCM hawawezi saidia. Hivyo hapa ni wanchi KWANZA ccm badae.
 
Back
Top Bottom